IRENE UWOYA AMPIGA BITI DOGO JANJA KUHUSU MKE WA PILI....ADAI KWAMBA AKITHUBUTU KUOA MKE WA PILI NDO ATAJUA UWOYA NI KABILA GANI - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 15, 2018

IRENE UWOYA AMPIGA BITI DOGO JANJA KUHUSU MKE WA PILI....ADAI KWAMBA AKITHUBUTU KUOA MKE WA PILI NDO ATAJUA UWOYA NI KABILA GANI


Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na taarifa kuwa msanii Dogo Janja ana mpango wa kuongeza mke wa pili baada ya kufunga ndoa na muigizaji Irene Uwoya ambapo ndoa hiyo ilifungwa mwaka jana 2017 ingawa mashabiki hadi sasa hawaamini kuhusu ndoa hiyo.


Kupitia mtandao wa instagram wa Irene Uwoya ameonekana kupata taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mume wake Dogo Janja kuwa ana mpango wa kuoa mke wa pili na hivyo kumpa onyo pale atakapothubutu kufanya hivyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages