Post Top Ad
Showing posts with label Ajali/Tanzia/Msiba. Show all posts
Showing posts with label Ajali/Tanzia/Msiba. Show all posts
Saturday, April 28, 2018
ALIYEWAHI KUWA MKUU WA MKOA WA DSM ABBAS KANDORO AFARIKI DUNIA
Mkuu wa mkoa mstaafu Mzee Abbas Kandoro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar alikola...
Read more »
Thursday, April 26, 2018
MAMA MZAZI WA LADY JAYDEE AFARIKI DUNIA
msanii wa muziki wa bongo fleva Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee Mama mzazi wa msanii wa muziki wa bongo fleva Judith Wambura...
Read more »
Wednesday, April 18, 2018
PICHA: RAIS MAGUFULI ALIPOWASILI KATIKA MSIBA WA MAMA MZAZI RC GAMBO MAPEMA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo April 18, 2018 amewasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam k...
Read more »
Sunday, April 15, 2018
BAD NEWS:MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA KONGWA AFARIKI....NI BAADA YA GARI LAKE KUANGUKIWA NA LORI LA MAFUTA
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kongwa, Izengo Ngusa, amefariki asubuhi ya leo Aprili 15 kwenye ajali ya gari, Taarifa zilizotufikia zinasema gar...
Read more »
Friday, April 13, 2018
TANZIA:MAMA MZAZI WA RC MRISHO GAMBO AMEAGA DUNIA
Kwa masikitiko na uchungu mkubwa napenda kutangaza kifo Cha Mama yangu Mzazi ( Mama aliyenilea kwa kuuza uji) kilichotokea usiku wa...
Read more »
Thursday, April 5, 2018
BAD NEWS :AJALI MBAYA YATOKEA TABORA, BASI LA CITY BOY LAGONGANA NA FUSO NA KUUA MAKUMI YA WATU
Taarifa zilizotufikia usiku huu zinaeleza kuwa kuna ajali mbaya sana ya basi la City Boy linalofanya safari zake kati ya Dar na Karagwe Kag...
Read more »
Friday, March 30, 2018
BAD NEWS: WABUNGE SITA WAPATA AJALI HUKO MOROGORO, MMOJA ALAZWA ICU
Wabunge sita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepata ajali ya gari jana usiku Machi 29, 2018 mkoani Morogoro wakati wakitokea ...
Read more »
Friday, March 23, 2018
BREAKING NEWS: LORI LA MAFUTA LATEKETEA KWA MOTO HUKO SEKENKE, DREVA NA MSAIDIZI WAKE WANADAIWA KUPOTEZA MAISHA...VIDEO IKO HAPA
Taarifa za kusikitisha zinaeleza kuwa gari la kusafirishia mafuta limepinduka na kuungua moto maeneo ya mlima Sekenke mkoani Singida. Ga...
Read more »
Tuesday, February 27, 2018
PICHA: HIVI NDIVYO KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA ALIVYOPATA AJALI YA KUSIKITISHA ENEO LA MDORI, MANYARA
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, DCP. Charles Mkumbo siku ya jana Jumatatu, Februari 26 alipata ajali mbaya ya gari katika eneo la Mdo...
Read more »
Saturday, February 24, 2018
KONDAKTA APOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BASI KARAGWE, KAGERA
Basi la abiria Kampuni ya Fikoshi Investment linayofanya safari zake kati ya Kaisho, Bukoba na jijini Mwanza limepata ajali katika eneo la ...
Read more »
Thursday, February 22, 2018
HII HAPA RATIBA YA KUAGA MWILI WA MWANAFUNZI AKWILINA AKWILINE CHUONI NIT
Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafu...
Read more »
Wednesday, February 21, 2018
AUDIO:AMBULANCE YAMGONGA TRAFIKI NA KUMSABABISHIA KIFO MKOANI MOROGORO.....RPC ATHIBITISHA AJALI HIYO
Gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) limegongana uso kwa uso na pikipiki iliyokuwa ikiendeshwa na askari polisi wa kitengo cha usalama b...
Read more »
Sunday, February 18, 2018
PICHA: MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO ALIVYOFIKA KATIKA MSIBA WA MWANAFUNZI WA NIT ALIYEPIGWA RISASI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro, leo amefika kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirisha...
Read more »
Monday, February 12, 2018
BAD NEWS: WATANO WAFARIKI PAPO HAPO, SITA WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI KABUKU MKOANI TANGA
Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine sita kujeruhiwa vibaya, baada ya basi kubwa kugongana na hiace katika eneo la Kabuku wila...
Read more »
Friday, February 2, 2018
TANZIA: TANZANIA IMEMPOTEZA MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
Habari tulizozipokea hivi punde zinasema kuwa mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amefariki dunia leo alfajiri...
Read more »
Thursday, February 1, 2018
TANZIA: MWANAMUZIKI MOZES RADIO WA NCHINI UGANDA AFARIKI DUNIA
Mwanamuziki wa Nchini Uganda, Moses Sekibooga maarufu kwa jina la kisanii Mozey Radio afariki Dunia. Wiki iliyopita Mwanamuziki huyo ...
Read more »
Thursday, January 4, 2018
TANZIA:MKE WA MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE AFARIKI DUNIA LEO
Mke wa mwananasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muh...
Read more »
TANZIA:MWANDISHI WA HABARI AFARIKI DUNIA
Mwandishi mkongwe na mpigapicha maarufu zikiwemo za michezo, Athumani Hamisi amefariki dunia. Athumani amefariki dunia leo katika Hospitali...
Read more »
Wednesday, January 3, 2018
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMEHANI MSIBA WA MKE WA NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 3, Januari, 2018 amehani msiba wa Kamishna Msaidiz...
Read more »
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.
TAZAMA LIVE TV HAPA CHINI