ISOME HAPA BARUA YA KUJIUZULU YA RAIS ROBERT MUGABE - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 22, 2017

ISOME HAPA BARUA YA KUJIUZULU YA RAIS ROBERT MUGABE


Shangwe zimelipuka jijini Harare nchini Zimbabwe baada ya Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe kuakubali kujiuzulu jana Jumanne jioni.

Shangwe hizo zililipuka baada ya nchi hiyo kuwa katika presha kwa siku kadhaa baada ya wanajeshi kumweka kizuizini Rais Mugabe huku wakifanya utaratibu wa kumtaka aondoke madarakani.

Mugabe (93) amekuwa kiongozi wa nchi hiyo kwa miaka 37 na kuanzia wiki iliyopita kumekuwa na mchakato wa kutaka kumwondoa hadi leo alipoamua kuliandikia Bunge barua ya kujiuzulu.

==>Hii ni barua ya Mugabe Kujiuzulu


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages