Kuna video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na rais wa zamani Mh. Benjamin William Mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya!
Hapa chini ni Video ikimuonyesha Ferooz akinadi dagaa mchele:
No comments:
Post a Comment