U hali gani mpenzi msomaji wa Mukamafunny Blog na hii leo tunakutambulisha kipengele chetu kipya cha Kutoka Instagram. Kipengele hiki kitakuwa maalumu kukuletea stori zilizobamba kutoka Instagram.
Kwa kuanza leo tumekutana na stori ya Taraji binti wa Petitman na Esma Platinumz akiongea kuhusu SHILAWADU. Bonyeza play kwenye hiyo video hapo chini naamini utafurahi mwenyewe.👇👇👇👇👇
No comments:
Post a Comment