TANZIA:MUME WA ZAMANI WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA...,CHANZO CHA KIFO CHAKE BADO KUJULIKANA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 15, 2017

TANZIA:MUME WA ZAMANI WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA...,CHANZO CHA KIFO CHAKE BADO KUJULIKANA


Beki wa zamani wa Rayon Sports na mume wa muigizaji maarufu nchini, Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia baada ya kuugua ghafla. Taarifa kutoka Kigali, Rwanda zinaeleza Kataut alikuwa mazoezini jana asubuhi.

Wakati anapoteza maisha, Kataut alikuwa kocha msaidizi wa kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda.Mara ya mwisho, Kataut aliichezea Stand United ya Shinyanga wakati akitokea Cyprus.


Alikuja nchini mara ya mwisho wakati wa Simba Day Agosti 8, akitua nchini Agosti 7 akiwa na kikosi cha Rayon ambacho kilicheza na Simba na kupoteza kwa bao 1-0.


#Vyankende Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages