Ikiwa takribani ni wiki moja imepita tangu Msanii wa kuigiza Irene Uwoya pamoja na Msanii wa muziki wa Bongo fleva Dogo Janja kuweka wazi juu ya Ndoa yao iliyofungwa mapema hivi karibuni.
Jana imeibuka sintofahamu tena katika mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa picha za wasanii nguli wa kuigiza hapa nchini Hemed PHD pamoja na Irene uwoya (mke wa ndoa wa Dogo Janja) wakionekana wakiwa katika mapozi tofauti wakiwa chumbani jambo lililoibua sintofahamu kwa mashabiki wa wasanii hao.

No comments:
Post a Comment