Video hiyo hapo juu inamuonesha Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anasikiliza wimbo wa kabila la Wasukuma pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli (kushoto) na Dada yake Mkubwa Monica Joseph Magufuli (kulia).
Rais Magufuli yupo mapumzikoni Kijijini kwake Lubambangwe, Chato Mkoani Geita.
No comments:
Post a Comment