IGP SIMON SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU KWA ASKARI WA MKOA WA TABORA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 12, 2017

IGP SIMON SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU KWA ASKARI WA MKOA WA TABORA


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu kutoka kushoto akiangalia mmoja wa askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika mazoezi ya utayari kupita juu ya kamba mkoani Tabora jana. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu toka kulia jana asubuhi alishiriki mazoezi ya utayari na kuwatia hamasa Askari wa Mkoa wa Tabora, katika ziara yake ya siku moja mkoani humo, hatua hiyo ni kutokana na kuwataka askari wa Jeshi la Polisi kuwa na utayari wakati wote .



Picha na Jeshi la Polisi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages