NANDY AFUNGUKA JINSI ALIVYOPOKEA PONGEZI ZA WIMBO WAKE WA KIVURUGE KUTOKA KWA NAIBU SPIKA....BOFYA HAPA CHINI KUMSIKILIZA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 28, 2017

NANDY AFUNGUKA JINSI ALIVYOPOKEA PONGEZI ZA WIMBO WAKE WA KIVURUGE KUTOKA KWA NAIBU SPIKA....BOFYA HAPA CHINI KUMSIKILIZA


Msanii wa muziki wa bongo fleva Nandy, amesema anamshukuru Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa pongezi alizompa, kwani ni kitu ambacho hakikutarajia.

Nandy amesema kuwa ni kitu cha faraja kuona anapongezwa na kiongozi mkubwa serikalini, hivyo kimempa faraja.

“Nimefurahi kwa sababu ni mtu ambaye ananisapoti sana, na imenipa faraja sana kwani sikutarajia, kwa sababu mi nilitumiwa kwenye group nikaiona, basi nikampigia simu nikaongea naye nikamshukuru”, amesema Nandy.

Jana Naibu Spika Tulia Ackson alipost kwenye instagram yake akimpongeza Nandy kwa jitihada zake anazozifanya kwenye kazi yake ya sanaa ya muziki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages