Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa Kenya itashinda katika mapambano dhidi ya ugaidi.
Rais Kenyatta amesema magaidi wanajaribu kuleta mgawanyiko, chuki na hofu ndani ya Kenya, lakini wameshindwa. Pia amelipongeza jeshi la Kenya KDF kwa juhudi zake kwenye kazi za kulinda usalama, hususan katika mapambano dhidi ya ugaidi.
Alipofanya ukaguzi kwenye chuo cha jeshi mjini Nakuru, Rais Kenyatta amesema nchi yake ina sababu zote za kushinda kwenye mapambano dhidi ya ugaidi. Amewafahamisha wakenya kuwa maendeleo ya Kenya yanategemea amani, usalama, utawala bora na sera kamili za maendeleo ya kiuchumi.

No comments:
Post a Comment