TARATIBU ZA KUMTOA MAGEREZA NGUZA VIKING NA MWANAYE ZIMEKAMILIKA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 9, 2017

TARATIBU ZA KUMTOA MAGEREZA NGUZA VIKING NA MWANAYE ZIMEKAMILIKA

Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam, Augustino Mboje amesema kuwa hivi sasa wanakamilisha taratibu za kumtoa gerezani Nguza Viking na mwanaye Papii Kocha.

Mboje amesema hayo baada ya Rais John Magufuli kuwasamehe wafungwa hao ikiwa ni miaka 56 ya uhuru wa Tanzania.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumamosi jioni, Mboje amesema sasa hivi wanajaza fomu na itakapofika saa  11 watawaachia wafungwa hao.

Tarari ndugu jamaa na marafiki wa wanamuziki hao wako nje ya gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam wakiwasubiria.

Ndugu hao ambao wameonekana wakiwa kwenye magari huku wengine wakizunguka zunguka nje ya gereza hilo kusubiria taratibu za wanamuziki hao kukamilika ili waachiwe.



#Mwananchi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages