Tazama video mpya ya MwanaFA Ft. Maua Sama – Hata Sielewi (Official Music Video) - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 8, 2017

Tazama video mpya ya MwanaFA Ft. Maua Sama – Hata Sielewi (Official Music Video)

Baada ya hivi karibuni kufanya vizuri na ngoma ya Upo Hapo ambayo yupo yeye, A.Y na Fid Q, Hamisi Mwinjuma ukipenda muite Mwana FA au Binamu ameachia video yake mpya ambapo katika wimbo huo amemshirikisha mwanadada, Maua Sama.

Tazama video ya wimbo huo hapa chini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages