UJUMBE HUU WA DIAMOND PLATINUMZ UNA MAANA KUBWA....CHUKUA MUDA WAKO KUUSOMA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 22, 2017

UJUMBE HUU WA DIAMOND PLATINUMZ UNA MAANA KUBWA....CHUKUA MUDA WAKO KUUSOMA

Zikiwa zimebaki siku chache kumaliza mwaka huu wa 2017, mwaka ambao kwa Diamond Platinumz a.k.a Chibu Dangote umeonesha mafanikio makubwa sana ikiwemo kufanya kolabo na wasanii mbalimbali wa kimataifa.

Ijumaa ya leo Diamond Platinumz ameamua kushea siri kubwa ambayo imekuwa ikimpatia mafanikio yaliyomfanya yeye kutambulika kitaifa na kimataifa kupitia ngoma zake kali hali kadhalika na biashara zake.

Diamond ameandika ujumbe mzito huku akiwasisitiza vijana kutokata tamaa na kuziishi ndoto zao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages