UNA SHAHUKU YA KUISIKIA NGOMA MPYA YA RAYVANNY NA JASON DERULO??BOFYA HAPA UMSIKIE VANNY BOY ANASEMAJE - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 18, 2017

UNA SHAHUKU YA KUISIKIA NGOMA MPYA YA RAYVANNY NA JASON DERULO??BOFYA HAPA UMSIKIE VANNY BOY ANASEMAJE


Msanii wa muziki Bongo, Rayvanny amefunguka kinachokwamisha kolabo yake na mkali wa R&B kutoka ardhi ya Trump.

Muimbaji huyo wa WCB ambaye June 26 mwaka huu alionekana studio na Jason Derulo amesema kuwa kazi hiyo ilishafanyika ila anasubiri Derulo aimalizie mixing kisha amtumie.

“Nilifanya ngoma kwenye studio yake lakini ratiba yake inakuwa imebana sana anakuwa anazunguka kwenye miji mingi tofauti, so akaniambia siwezi nikakutumia kitu ambacho hakijakaa proper subiri mpaka tuimix vizuri” amesema Rayvanny.

Hata hivyo Rayvanny ameeleza kuwa katika safari yake ya sasa ya Marekani ambapo ameenda kwa ajili ya ku-shoot video atafuatilia na hilo pia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages