VIDEO:SIKILIZA ALICHOKISEMA HAPA MBUNGE WA CHADEMA ALIYEJIUZULU NA KUHAMIA CCM LEO HII - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 14, 2017

VIDEO:SIKILIZA ALICHOKISEMA HAPA MBUNGE WA CHADEMA ALIYEJIUZULU NA KUHAMIA CCM LEO HII

Mbunge wa Jimbo la Siha, Mkoani Kilimanjaro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk. Godwin Oloyce Mollel, aliyetangaza kujivua uanachama wa chama chake na kujiuzulu ubunge amewashukuru wananchi wake wa Siha kwa ushirikiano mkubwa waliompa wakati akiwa madarakani.

Godwin Mollel amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge pamoja na kujivua uanachama wa CHADEMA huku akiomba wanachama wa Chama cha Mapinduzi kumpokea na kusema kuwa sababu kubwa iliyomfanya ahame ni kutokana na kuridhishwa na utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli katika kupigania rasilimali za nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages