BAADA YA NABII TITO KUTIWA MIKONONI MWA POLISI...WAZIRI MWIGULU AFUNGUKA MAKUBWA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 23, 2018

BAADA YA NABII TITO KUTIWA MIKONONI MWA POLISI...WAZIRI MWIGULU AFUNGUKA MAKUBWA


Leo Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limemkamata Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito, ambaye amekuwa akionekana mitaani kuhubiri huku akiwa anakunywa pombe na kuwabusu wanawake huku akiwashauri watu kufanya mapenzi na wafanyakazi wao wa ndani 


Kupitia ukurasa wake wa instagram Waziri wa Mambo ya Ndani Dr. Mwigulu Nchemba amesema mtu huyo amekamatwa kwa tuhuma za udhalilishaji.

“Udhalilishaji wa aina yoyote ile haukubaliki(Kijinsia,Dini n.k)”- Ameandika waziri Mwigulu.
A post shared by Dr. Mwigulu Lameck Nchemba (@mwigulunchemba) on

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages