HIZI HAPA SHULE 10 BORA NA SHULE 10 ZILIZOFANYA VIBAYA KATIKA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2017 - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 30, 2018

HIZI HAPA SHULE 10 BORA NA SHULE 10 ZILIZOFANYA VIBAYA KATIKA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2017


Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwenye mtihani ambao ulifanyika October 2017 ambapo Shule iliyoshika namba moja inatoka Mbeya.

TOP 10 YA SHULE BORA.
1. St. Francis Girls ya Mbeya
2. Feza Boys ya Dar es salaam
3. Kemebos ya Kagera

4. Bethel Sabs Girls ya Iringa

5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro

6. Marian Girls Pwani

7. Canossa ya Dar es salaam

8. Feza Girls ya Dar es salaam

9. Marian Boys ya Pwani

10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam


TOP 10 YA SHULE ZA MWISHO KITAIFA10. Mtule ya Kusini Unguja

9. Nyeburu ya Dar es salaam

8. Chokocho ya Kusini Pemba

7. Kabugaro ya Kagera

6. Mbesa ya Ruvuma

5. Furaha ya Dar es salaam

4. Langoni ya Mjini Magharibi

3. Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi

2. Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja

1. Kusini ya Kusini Unguja

Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages