KENYA:AFIKISHWA MAHAKAMANI BAADA YA KUBAKA MBUZI WA JIRANI YAKE - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 16, 2018

KENYA:AFIKISHWA MAHAKAMANI BAADA YA KUBAKA MBUZI WA JIRANI YAKE


Mtu mmoja nchini Kenya mwenye umri wa miaka 35 amefikishwa mahakamani akituhumiwa kubaka mbuzi wawili wa jirani yake, na kisha kuwaua.

Tukio hilo limetokea Januari 13 mwaka huu, baada ya watu kumuona akiwaburuza mbuzi hao kutoka porini ambako anahisiwa kufanya tukio hilo, katika eneo la Kangundo

Waendesha mashtaka wametaka mbuzi hao wapelekwe kufanyiwa vipimo ili kubaini kama kweli wamefanyiwa kitendo hicho, na kutaka mshtakiwa kupatiwa matibabu baada ya kulalamika alipigwa vibaya na polisi walipoenda kumkamata.

Kesi hiyo imehairishwa mpaka Januari 29, na mshtakiwa kupewa dhamana ya shilingi 100,000 za Kenya.

Sheria za Kenya zinamtaka mtu atakayekutwa na hatia ya kufanya ukatili kama huo kwa wanyama kwenda jela kwa miaka 14.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages