PICHA:MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AJUMUIKA NA WATOTO YATIMA KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 28, 2018

PICHA:MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AJUMUIKA NA WATOTO YATIMA KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Jumamosi ya jana Januari 27 ilikuwa ni siku maalumu kwa makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ambapo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter mama Samia ameandika kuhusiana na namna alivyosherehekea birthday yake kwa kujumuika na watoto yatima wa kituo cha Mtakatifu Gaspar kilichopo mjini Dodoma.

"Jioni ya leo nimejumuikana baadhi ya watoto yatima wa kituo cha Mtakatifu Gaspar cha mjini Dodoma kwenye chakula cha jioni ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa" alisema.



Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages