POLEOLE NA LEMA WARUSHIANA MANENO MTANDAONI.....POLEPOLE AMEMTAHADHARISHA LEMA KUWA CCM ITALITWAA JIMBO LA ARUSHA MJINI 2020 - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 2, 2018

POLEOLE NA LEMA WARUSHIANA MANENO MTANDAONI.....POLEPOLE AMEMTAHADHARISHA LEMA KUWA CCM ITALITWAA JIMBO LA ARUSHA MJINI 2020

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole amemtahadharisha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwa kumwambia kuwa kipindi hiki ni cha mwisho kuongoza Jimbo hilo la Arusha Mjini.

Hayo yamekuja mara baada ya Mbunge huyo kupitia kurasa zake za twitter kujibizana huku Lema akionyesha kumhoji Polepole kama familia yake huwa inamuelewa kweli anachokizungumza.

“Term ya mwisho Arusha, tunataka Mbunge wa Masuala na si wa Matukio, hata mkichezesha draft ili uende Hai, haitawezekana maana hata “fly to…” maji yako shingoni, na ukiamua kurudia kazi yako ya zamani. anko Siro is very serious,”ameandika Polepole

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages