TANZIA:MKE WA MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE AFARIKI DUNIA LEO - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 4, 2018

TANZIA:MKE WA MWANASIASA MKONGWE KINGUNGE AFARIKI DUNIA LEO

Mke wa mwananasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha taarifa hizo na kwamba kifo cha mama yake kimetokea wakati baba yake pia ni mgonjwa.

"Ni kweli mama amefariki na baba amelala kwa sababu ndio kwanza ametoka chumba cha upasuaji aling'atwa na mbwa. Tutamwambia akiamka," amesema.


#Mwananchi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages