VIDEO: BAADA YA TAARIFA KUSAMBAA MTANDAONI....RIDHIWANI KIKWETE AJITOKEZA NA KUKANUSHA YEYE HAJAHUSIKA KUIKOSOA CCM - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 23, 2018

VIDEO: BAADA YA TAARIFA KUSAMBAA MTANDAONI....RIDHIWANI KIKWETE AJITOKEZA NA KUKANUSHA YEYE HAJAHUSIKA KUIKOSOA CCM



Jioni ya January 22 2017 kwenye mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kutokea kwenye ukurasa wa Instagram wa Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ikionekana anakikosoa Chama chake cha CCM.

Ridhiwani amekanusha usiku huu kwa kusema ukurasa wake huo ulidukuliwa na kwamba sio yeye aliandika maneno mliyoyaona kuikosoa CCM.
>>>>Bofya hapa chini kumtazama 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages