VIDEO: HUYU HAPA MSANII MPYA ALIYETAMBULISHWA NA WCB....MSANII HUYO AMEACHIA VIDEO MPYA IKO HAPA PIA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 29, 2018

VIDEO: HUYU HAPA MSANII MPYA ALIYETAMBULISHWA NA WCB....MSANII HUYO AMEACHIA VIDEO MPYA IKO HAPA PIA


Lebo ya muziki ya WCB jana usiku ilitambulisha msanii mwingine ambaye kazi zake zitakuwa zikisimamiwa na lebo hiyo, ambapo mbali na kumtambulisha, msanii huyo aliachia ngoma yake ya kwanza akiwa chini ya WCB.

Msanii huyo ni Mbosso ambapo awali alikuwa mmoja kati ya wasanii wanne waliokuwa wakiunda kundi la Ya Moto Band ambalo limesambaratika.

Kabla ya kujiunga na WCB, Mbosso alikuwa akitumia jina la Marombosso.

Hapa chini ni video yake mpya aliyoiachia jana mara baada ya kutambulishwa.
Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages