Jumamosi ya leo Januari 27, 2018 msanii Ali Kiba amechukua headlines baada ya kumtembelea mama mzazi wa Rais John Pombe Magufuli katika makazi yake Chato mkoani Geita.
Ali Kiba pia amewatembelea wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Chato katika mkoa huo huo wa Geita ambapo pamoja na kuwajulia hali wagonjwa lakini pia Kiba amesifia ucheshi wa mama mzazi wa Rais Magufuli. Hapa chìni nimekuwekea video ikimuonesha Ali Kiba na mama mzazi wa Rais Magufuli wakifurahia jambo.



No comments:
Post a Comment