ASKOFU KAKOBE AIBUKA NA MPYAA...AKANA KUHUSU KANISA LAKE KUKWEPA KODI, ADAI TAARIFA ZA TRA NI ZA KISHILAWADU - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 25, 2018

ASKOFU KAKOBE AIBUKA NA MPYAA...AKANA KUHUSU KANISA LAKE KUKWEPA KODI, ADAI TAARIFA ZA TRA NI ZA KISHILAWADU


Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amekanusha taarifa za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwamba kanisa lake linakwepa kodi.

Akizungumza leo Jumapili Februari 25, 2015 katika kanisa hilo lililopo Mwenge, jijini Dar es Salaam Kakobe amewataka waumini wa kanisa hilo kuzikataa taarifa hizo na kwamba zimejaa siasa,ni za kishilawadu.

Kakobe ametoa ufafanuzi huo zikiwa zimepita siku nne tangu TRA kutoa taarifa ya uchunguzi katika kanisa hilo na kubaini mambo saba.


Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages