HUYU HAPA MRITHI WA MPYA WA RAIS JACOB ZUMA....ANAITWA CYRIL RAMAPHOSA AMBAYE AMEPITISHWA NA BUNGE LA AFRIKA KUSINI - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 15, 2018

HUYU HAPA MRITHI WA MPYA WA RAIS JACOB ZUMA....ANAITWA CYRIL RAMAPHOSA AMBAYE AMEPITISHWA NA BUNGE LA AFRIKA KUSINI


Bunge la Afrika Kusini limemchagua Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril Ramaphosa, kuwa Rais wa mpito wa nchi hiyo, mpaka pale uchaguzi utakapofanyika baada ya rais wa taifa hilo Jacob Zuma kujiuzulu.

Zuma alikuwa akikabiliwa na tuhuma nyingi, moja ikiwa ni kumhusisha na vitendo vya rushwa japokuwa mwenyewe amekanusha kuhusishwa na tuhuma hizo. 

Alijiuzulu mara moja jana jioni licha ya kusema hakubaliani na uamuzi wa chama.


Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages