KONDAKTA APOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BASI KARAGWE, KAGERA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 24, 2018

KONDAKTA APOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BASI KARAGWE, KAGERA

Basi la abiria Kampuni ya Fikoshi Investment linayofanya safari zake kati ya Kaisho, Bukoba na jijini Mwanza limepata ajali katika eneo la Nkwenda Wilayani Kyerwa mkoani Kagera na kusababisha kifo cha kondakta wa basi hilo.
Kondakta wa basi hilo ambaye bado hajafahamika jina lake, alifariki papo hapo, huku majeruhi kadhaa wamekimbizwa katika Hospitali teule ya Nyakahanga na wengine katika Kituo cha Afya Nkwenda kilicho karibu na eneo la ajali.






Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages