MWAMUZI JONESIA RUKYAA ATEULIWA KUCHEZESHA MICHUANO YA ALGARVE NCHINI URENO - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 15, 2018

MWAMUZI JONESIA RUKYAA ATEULIWA KUCHEZESHA MICHUANO YA ALGARVE NCHINI URENO

Shirikisho la soka Tanzania (TFF), limesema kuwa mwamuzi wa kike nchini mwenye beji ya Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA), Jonesia Rukyaa ameteuliwa kuchezesha mchezo wa michuano ya Algarve kwa mwaka huu nchini Ureno zitakazo anza Februari 28.

“Mwamuzi wa kike kutoka Tanzania mwenye beji ya FIFA Jonesia Rukyaa ameteuliwa kuchezesha mechi za Algarve Cup 2018 nchini Ureno zitakazoanza Feb 28 hadi Machi 07, 2018.”

Michuano hiyo ya Algarve ni michuano inayoshirikisha timu za wanawake ambayo itaanza kutimua vumbi mwezi huu wa Februari na kumalizika Machi 7 mwaka huu.

Jumla ya timu 12 zimealikwa katika michuano hii ambapo zitagawanyika katika makundi matatu wakati mataifa yatakayoshiriki ni haya:





Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages