PICHA: HIVI NDIVYO KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA ALIVYOPATA AJALI YA KUSIKITISHA ENEO LA MDORI, MANYARA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 27, 2018

PICHA: HIVI NDIVYO KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA ALIVYOPATA AJALI YA KUSIKITISHA ENEO LA MDORI, MANYARA

Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, DCP. Charles Mkumbo siku ya jana Jumatatu, Februari 26 alipata ajali mbaya ya gari katika eneo la Mdori mkoani Manyara baada ya gari alilokuwa akitumia kusafiria kupasuka gurudumu ‘tairi’ ya nyuma na kupoteza muelekeo.


Taarifa hizo zilizothibitishwa na mlinzi wa Kamanda Mkumbo kwa njia ya simu ya RPC, amesema Mkumbo amepata ajali hiyo ambapo ndani ya gari aliyokuwa akiitumia walikua watu watatu akiwemo msaidizi wake pamoja na dereva.


Baada ya tukio hilo, Kamanda Mkumbo alipelekwa katika hospitali ya Mount Meru mkoani Arusha kwa ajili ya matibabu zaidi huku ikielezwa kuwa ameumia vibaya maeneo ya kichwani.


Chanzo:NIPASHE


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages