PICHA: MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO ALIVYOFIKA KATIKA MSIBA WA MWANAFUNZI WA NIT ALIYEPIGWA RISASI - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 18, 2018

PICHA: MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO ALIVYOFIKA KATIKA MSIBA WA MWANAFUNZI WA NIT ALIYEPIGWA RISASI


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro, leo amefika kwenye msiba wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi juzi Ijumaa eneo la Mkwajuni, Kinondoni, Dar. Msiba huo upo nyumbani kwao Akwilina maneo ya Mbezi jijini Dar.



Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages