Chama cha Mapinduzi (CCM) kimelitaka Jeshi la Polisi limhoji Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na viongozi wenzake walioshiriki maandamano yasiyo halali na yenye hila na kupelekea uhai wa mwanafunzi kupotea.
CCM imeituhumu CHADEMA kuwa inapanga kufanya fujo.



Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171. Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''
No comments:
Post a Comment