Mwanamuziki wa Nchini Uganda, Moses Sekibooga maarufu kwa jina la kisanii Mozey Radio afariki Dunia.
Wiki iliyopita Mwanamuziki huyo alivunjika shingo na fuvu la kichwa baada ya kuanguka wakati akigombana na Mlinzi wa ukumbi mmoja wa starehe.
Kifo cha Msanii huyo kimekuja siku moja baada ya Rais Yoweri Museveni kuchangia Shilingi Milioni 30 za Uganda kwaajili ya matibabu.
Kwa maoni na ushauri tuandikie kupitia mukamafunnyblog95@gmail.com au tuma ujumbe mfupi kwenda namba +255 (0) 768548171.
Mukamafunny Blog>>"Habari na Burudani''

No comments:
Post a Comment