ISOME HAPA RATIBA YA MECHI ZA EPL WIKENDI HII - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 31, 2018

ISOME HAPA RATIBA YA MECHI ZA EPL WIKENDI HII



Baada ya ligi mbali mbali duniani kupumzika kwa takribani wiki kwa kupisha mechi za timu za taifa, wikiendi hii ligi hizo zinarudi tena kwa kurudisha furaha kwa mashabiki wake wakiwemo wanaofuatilia ligi maarufu duniani ya Uingereza.


Hapa chini ni ratiba ya mechi za ligi hiyo wikiendi hii.
Jumamosi
Crystal Palace vs Liverpool

Brighton vs Leicester City
Manchester United vs Swansea
Newcastle United vs Huddersfield Town
Watford vs Bournemouth
West Bromwich Albion vs Burnley
West Ham United vs Southampton
Everton vs Manchester City

Jumapili
Arsenal vs Stoke City
Chelsea vs Tottenham Hotspur

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages