RAFAEL NADAL KUREJEA UWANJANI KUPITIA DAVIS CUP - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 28, 2018

RAFAEL NADAL KUREJEA UWANJANI KUPITIA DAVIS CUP


Mchezaji tennis, Rafael Nadal huwenda akarejea katika mchezo huo kupitia michuano ya Davis Cup hatua ya robi fainali nchini Hispania na kukabiliana na Ujerumani mwezi ujao baada ya kusumbuliwa na majeraha kwa muda mrefu.

Nadal yupo nje ya uwanja tangu mwezi Januari baada ya kupata majeruhi yaliyompelekea kushindwa kuendelea na hatua ya robo fainali dhidi ya Marin Cilic michuano ya Australian Open.

Hispania itaikabili Ujerumani huko Plaza de Toros kuanzia Aprili 6-8.
Nadal anajipanga kurejea tena kwa mara yake ya kwanza katika michuano hiyo ya Davis Cup.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages