BAD NEWS:MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA KONGWA AFARIKI....NI BAADA YA GARI LAKE KUANGUKIWA NA LORI LA MAFUTA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 15, 2018

BAD NEWS:MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA KONGWA AFARIKI....NI BAADA YA GARI LAKE KUANGUKIWA NA LORI LA MAFUTA


Mkurugenzi wa Manispaa ya Kongwa, Izengo Ngusa, amefariki asubuhi ya leo Aprili 15 kwenye ajali ya gari,

Taarifa zilizotufikia zinasema gari dogo alilopanda Mkurugenzi huyo, lenye namba za usajili T619 DMA aina ya Toyota Crown Athlete, liliangukiwa na lori lililobeba mafuta,

Ajali hiyo imetokea eneo la Mbande Makaravati mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages