BALAA LA TUNDA....ANADAI KWAMBA HUWA HAPIGI PICHA ZA UCHI, SHUHUDIA MWENYEWE HAPA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 27, 2018

BALAA LA TUNDA....ANADAI KWAMBA HUWA HAPIGI PICHA ZA UCHI, SHUHUDIA MWENYEWE HAPA


Video vixen Bongo, Tunda amedai yeye huwa hapigi picha za utupu bali watu wanavyomuona ndio mtindo wake wa maisha.

Tunda amesema picha za utupu ni pale mtu anapoenda studio na kupiga picha lakini zile anazopiga akiwa nyumbani kwake ni zinapaswa kueleweka ni picha za kawaida.

“Unajua kuna picha za utupu kwamba ile mtu unaenda studio unaamua kuwa wazi na kupiga picha, na kuna jinsi mtu anavyovaa kama ni nguo fupi yaani kawaida ya yeye kuvaa japo si utupu kuna tofauti, mimi sipigi picha za utupu, no!,” amesema.

Tunda ametokea kwenye video za wasanii kama Young Dee, Chege na Temba na wengineo. Kwa sasa mrembo huyo yuko katika mahusiano na mtangazaji wa Clouds TV, Casto Dickson.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages