BILLNAS NA NANDY KUMBE NI WAPENZI WA MUDA MREFU...UTHIBITISHO WOTE UKO HAPA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 12, 2018

BILLNAS NA NANDY KUMBE NI WAPENZI WA MUDA MREFU...UTHIBITISHO WOTE UKO HAPA

Mwanamuziki wa Bongo fleva Nandy anayetokea nyumba ya vipaji THT na mpenzi wake rapa Billnas hatimaye wameanika penzi lao hadharani baada ya kulificha kwa muda mrefu.

Kwa kipindi kirefu Kumekuwa na tetesi kuwa Nandy na Billnas wana mahusiano ya kimapenzi na hata picha zao wakiwa maeneno sawa kwa wakati mmoja zilisambaa lakini kila mmoja alikana mahusiano hayo na kusisitiza kuwa ni marafiki.

Lakini waswahili wanasema mapenzi kikohozi kwani baada ya kuficha kwa muda mrefu hatimaye wawili hao wameonekana wakiwa pamoja kwenye picha ambazo wameposti Kwenye mtandao wa Instagram.

Hapo jana ilikuwa ni siku ya kusheherekea kuzaliwa kwa Billnas kama ilivyo desturi Nandy alimtakia heri ya siku yake ya kuzaliwa Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nandy kwa kumuandikia ujumbe wa heri na kusindikiza na picha yao:

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages