EDEN HAZARD KUANZA KUKIPIGA REAL MADRID - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 8, 2018

EDEN HAZARD KUANZA KUKIPIGA REAL MADRID


Winga wa Chelsea, Eden Hazard yupo kwenye kizungumkuti cha kubakia katika klabu yake au kujiunga na Real Madrid. Hazard mara nyingi amekuwa anakwepa kujibu pale akiulizwa kama anaondoka Chelsea.

Baba yake aliwahi kukaririwa akidai kuwa mwanae anataka kuchezea Real msimu ujao. Uvumi wa yeye kutaka kuondoka unaongezeka zaidi kwa kuwa amegoma hadi sasa kusaini mkataba mpya na Chelsea

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages