ISOME HAPA TAARIFA KUTOKA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC) KUHUSU ASKOFU MPYA JIMBO LA SUMBAWANGA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 19, 2018

ISOME HAPA TAARIFA KUTOKA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC) KUHUSU ASKOFU MPYA JIMBO LA SUMBAWANGA

Balozi wa Baba Mtakatifu nchini Tanzania anayofuraha kutangaza kwamba Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa Padri Beatus Christian URASSA, wa shirika la ALCP/OSS kuwa Askofu wa Jimbo la Sumbawanga.

Hadi wakati wa uteuzi wake Askofu Mteule Beatus Urassa alikuwa akihudumu  katika Parokia ya Eslarn, Jimbo la Regensburg, Ujerumani.

Imetolewa na,
Fr. Raymomd Saba
KATIBU MKUU
BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA
19 Aprili, 2018.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages