MAMA MZAZI WA LADY JAYDEE AFARIKI DUNIA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 26, 2018

MAMA MZAZI WA LADY JAYDEE AFARIKI DUNIA

msanii wa muziki wa bongo fleva Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee

Mama mzazi wa msanii wa muziki wa bongo fleva Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee, Bi. Martha Mbibo, amefariki dunia alfajiri ya leo .

Akithibitisha taarifa hizo kaka wa Lady Jaydee ambaye pia ni msanii Dabo, amesema kwamba mama yao amefariki akiwa nyumbani kwake baada ya kuugua saratani kwa muda mrefu.

Dabo amesema msiba upo nyumbani kwa marehemu Jet jijini Dar es salaam, na familia itatoa utaratibu wa mazishi mara baada ya utaratibu wa kuupeleka mwili msanii wa muziki wa bongo fleva Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee kuhifadhiwa kukamilika.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages