MAMBO NI HIVIIIII...WASAFI TV IKO HEWANI KUPITIA CHANEL 122 AZAM TV - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 2, 2018

MAMBO NI HIVIIIII...WASAFI TV IKO HEWANI KUPITIA CHANEL 122 AZAM TV

Image result for WASAFI TV
Kituo kipya cha runinga cha Wasafi TV leo Aprili 02, 2018 kimeanza kurusha matangazo yake mubashara kupitia ving’amuzi mbalimbali kikiwemo cha Azam TV.

Akithibitisha taarifa hizo, Diamond Platnumz ambaye ndiye mmiliki na muanzilishi wa kituo hicho, amesema kuwa matangazo hayo yameanza kuonekana kuanzia leo na kwa watumiaji wa king’amuzi cha Azam, Wasafi TV itapatikana namba 122 .

Hata hivyo, bado haijajulikana kama Wasafi TV itapatikana kwenye ving’amuzi vingine zaidi ya Azam TV.
Image result for WASAFI TV

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages