SHAMSA FORD AMTAHADHARISHA DIAMOND KUTUMIA KONDOM....NI KUFUATIA VIDEO ZILIZOSAMBAA MITANDAONI - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 17, 2018

SHAMSA FORD AMTAHADHARISHA DIAMOND KUTUMIA KONDOM....NI KUFUATIA VIDEO ZILIZOSAMBAA MITANDAONI


Muigizaji wa Bongo movie na mfanyabiashara Shamsa Ford Amefunguka na kudai kuwa sio kweli kwamba Diamond anawadhalilisha wanawake ambao wanatoka nao kimapenzi kwa kusambaza video zao mtandaoni.


Diamond alizua gumzo hili siku ya jana bada ya video zake kusambaa mtandaoni akiwa na Hamisa Mobetto chumbani wakikumbatiana na wakati huo huo akiwa na binti wa kizungu wakiwa pamoja chumbani pia Wakila denda na uchafu mwingine.


Kwenye mahojiano aliyofanya na Bongo 5 Shamsa aliulizwa nini maoni yake juu ya jambo hilo na alifunguka na kumtaka Diamond aendelee kutoka na wanawake tofauti tofauti kwa kuwa hawajitambui huku akimtahadharisha kutumia kondom ili kuepuka magonjwa na zinaa.


"Mwanaume hawezi kukufanya mwanamke ukawa chombo cha starehe ...inategemea mwenyewe na akili yako,kama unataka kuchezewa utachezewa kama unataka kuwa mwanamke wa muhimu kwake utakuwa inategemea mwenyewe unajiweka wapi


"Kwa hiyo mimi siwezi kumlaumu Diamond kama anawatumia maana wenyewe ndio wameweka mazingira hayo kwa nini asitumie nafasi? Ila mimi namshauri Diamond awale tu hao wasichana ila akumbuke kutumia kondomu maana magonjwa mengi”.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages