VIDEO:HUYU HAPA MAMA WA MTOTO ALIYEDAI KUWA BABA YAKE MZAZI NI LOWASSA....MTAZAME AKIFUNGUKA YOTE - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 12, 2018

VIDEO:HUYU HAPA MAMA WA MTOTO ALIYEDAI KUWA BABA YAKE MZAZI NI LOWASSA....MTAZAME AKIFUNGUKA YOTE

Baada ya siku ya Jumanne wiki hii binti mmoja kujitokeza kwa RC Makonda akidai yeye ni mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na kuomba kuonganisha na familia ya mzee huyo, Jumatano hii Mama wa binti huyo amejitokeza kwa RC Makonda na kuzungumzia kwanini mtoto wake huyo amejitokeza sasa na kueleza kwamba baba yake ni mzee Lowassa. Mapema jana mtoto mkubwa wa Edward Lowassa aitwaye, Fred alisema hao kama familia hawatambui kama wanandugu kama huyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages