WAZIRI MKUU MGENI RASMI KATIKA KUWASHWA MWENGE WA UHURU LEO - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 2, 2018

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KATIKA KUWASHWA MWENGE WA UHURU LEO



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mwanza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Aprili 1, 2018 akiwa njiani kwenda Geita
************
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 2,2018 atawasha Mwenge wa Uhuru mkoani Geita.

Sherehe za kuwashwa Mwenge zinatarajiwa kuanza saa moja asubuhi hadi saa tano asubuhi katika kiwanja cha Magogo mjini Geita.

Mwenge wa Uhuru ambao utakimbizwa mkoani Geita kwa siku sita utakabidhiwa mkoani Kagera Aprili 7,2018.

Mbio za Mwenge ambazo kauli mbiu kwa mwaka huu ni ‘Elimu ni ufunguo wa maisha, wekeza sasa kwa maendeleo ya Taifa zitahitimishwa Oktoba 14,2018 mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages