
Madaktari hao wamesema askari huyo atarudishiwa uwezo wa kufanya mapenzi ,jambo ambalo sio rahisi kama mtu akifanyiwa upasuaji wa uume.
Upasuaji huo umefanyiwa upasuaji mara nne kumi na moja na upandikizi huu ulitumia masaa kumi na nne tarehe 26 machi mwaka huu.
Huu ni upasuaji wa kwanza kumalizika salama na kurejesha sehemu hizo kurudi kwenye hali yake ya kawaida.
Madaktari wanasema kwamba korodani kutoka kwa mfadhili hazijapandikizwa kutokana na sababu za maadili.
Askari aliyefanyiwa upandikizaji ametaka kutofahamika ,
„Nilipoamka nilijisikia kuwa nimerudi kwenye hali yangu ya kawaida,kiukweli niko sawa kwa sasa". Askari huyo alieleza.
Wataalamu wa upasuaji huo wanatarajia kuwa askari huyo atapona ndani ya miezi 6 hadi 12.
#BBC Swahili
No comments:
Post a Comment