DIAMOND PLATINUMZ NA TUDD THOMAS WAJINYAKULIA TUZO ZA AELA NIGERIA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 4, 2017

DIAMOND PLATINUMZ NA TUDD THOMAS WAJINYAKULIA TUZO ZA AELA NIGERIA

Diamond, Tudd Thomas Washinda Tuzo Nigeria
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Muandaaji wa muziki, Tudd Thomas wote kutoka Tanzania wameshinda tuzo za African Entertainment Legends Awards (AELA) jana Desemba 3, 2017 jijini Lagos, nchini Nigeria.

Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya kolabo bora ya mwaka 2017 kupitia wimbo wake wa FIRE aliomshirikisha msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage huku producer Tuddy Thomas akinyakua tuzo ya Muandaaji bora wa muziki kwa mwaka 2017 barani Afrika.

Wengine walioshinda tuzo hizo ni Davido kupitia wimbo wake wa Coolest Kid in Afrika kwenye kipengele cha ‘Best Music Video of the Year’, RunTown, Black Coffee na wengine wengi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages