ALICHOJIBU MBWANA SAMATTA BAADA YA MTOTO MDOGO KUOMBA TISHETI YAKE - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 22, 2018

ALICHOJIBU MBWANA SAMATTA BAADA YA MTOTO MDOGO KUOMBA TISHETI YAKE

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta licha ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili lakini ameonesha kuzidi kupendwa na mashabiki wa club yake.

Moja kati ya ujumbe unaosambaa kwa sasa katika mitandao ya kijamii ni pamoja na post ya bango ya shabiki mtoto wa KRC Genk ikiwa imeandikwa “Mbwana Can I have Your Shirt Pendeza” akiwa kamaanisha “Mbwana unaweza kunipa jezi yako? Pendeza”

Baada ya Mbwana Samatta kuona post ya picha ya mtoto huyo akajibu “Ndio naweza kukupa kwa nini ishindikane” hiyo imezidi kudhihirisha mapenzi ya dhati ya mashabiki kwa Mbwana Samatta maana sio kila mchezaji soka huwa anapata nafasi ya kupendwa na mashabiki kwa kiwango hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages