VIDEO:HIVI NDIVYO CRISTIANO RONALDO ALIVYOPASULIWA KICHWA WAKATI AKIJARIBU KUFUNGA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 22, 2018

VIDEO:HIVI NDIVYO CRISTIANO RONALDO ALIVYOPASULIWA KICHWA WAKATI AKIJARIBU KUFUNGA

Licha ya ushindi wa bao 7-1 dhidi ya Derpotivo la Coruna walioupata Real Madrid katika La Liga, mshambuliaji wake, wa Kimataifa Raia wa Ureno, Cristiano Ronaldo alikutana na dhoruba baada ya kuumia kwa kupasuka usoni.

Ronaldo aliumia kwa kuchanipa sehemu ya usoni baada ya kugongwa wakati akijaribu kufunga.

Alikuwa ameruka kichwa kwa lengo la kufunga lakini akagongana na mchezaji wa Derpotivo. Hata hivyo, Ronaldo alipata huduma nzuri na kilichovutia zaidi ni yeye kutumia simu ya daktari kuangalia kama alikuwa ameumia au la.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages