ANZA SIKU YAKO MPYA KWA KUTAZAMA PICHA ZA MATUKIO: SHEREHE YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ILIYOFANYIKA JANA IJUMAA - MUKAMAFUNNY BLOG

Breaking

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 13, 2018

ANZA SIKU YAKO MPYA KWA KUTAZAMA PICHA ZA MATUKIO: SHEREHE YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ILIYOFANYIKA JANA IJUMAA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu, Mzee Ally Hassan Mwinyi. 



Makamu wa Rais, Bi Samia Suluhu Hassan (mwenye miwani), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla hiyo.



Rais Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Bi. Samia.



Mgeni Rasmi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili Uwanja wa Amani kwa ajiri ya sherehe hiyo.



Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua gwaride.



Moja ya majeshi yaliyokuwepo katika hafla hiyo.



Baadhi ya vijana waliofika uwanjani hapo wakipita na mabango mbele ya wageni.



Baadhi ya viongozi wa serikali waliohudhuria sherehe hiyo.



Dkt. Shein akiwasalimia wananchi.

PICHA ZOTE KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages